MICHEZO | MSHAHARA MPYA WA RONALDO NA HISTORIA YA MISHAHARA MIKUBWA YA WACHEZAJI DUNIANI...PIA WAJUE WANANE WANAOLIPWA ZAIDI KWA SASA


 Tunaumiza vichwa vyetu pia Cristiano: Ronaldo sasa anaondoka na kitita cha Pauni 288,000 kwa wiki

MSHAHARA mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi ni rekodi.

Wakati Johnny Haynes anakuwa mchezaji wa kwanza kulipwa Pauni 100 kwa wiki mwaka 1961 watu walichanganyikiwa na kiwango hicho cha mshahara.
pata picha watauchukuliaje mshahara mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 baada ya kodi.
Wakati huo wachezaji ghali zaidi alikuwa analipwa Pauni 20 kwa wiki England hadi Januari 18, mwaka 1961.
Jimmy Hill, Fulham, 1953: Pauni 20 kwa wiki


Johnny Haynes, Fulham, 1961: Pauni 100 kwa wiki


George Best, Man United, 1968: Pauni 1,000 kwa wiki


Falcao, Roma, 1980: Pauni 10,000 kwa wiki


Roberto Baggio, Juventus, 1990: Pauni 50,000 kwa wiki



Sol Campbell, Arsenal, 2001: Pauni 100,000 kwa wiki



Carlos Tevez, Man City, 2009: Pauni 200,000 kwa wiki
Wayne Rooney, Man Utd, 2010: Pauni 250,000 kwa wiki


Cristiano Ronaldo, Real Madrid, 2013: Pauni
288,000 kwa wiki (baada ya makato ya kodi)



NYOTA NANE WANAOLIPWA 'PESA NDEFU' DUNIANI...

1 Ronaldo (Real Madrid) Pauni Milioni 15 kwa mwaka
2 Lionel Messi (Barcelona) Pauni Milioni 13.41 kwa mwaka
3 Neymar (Barcelona) Pauni Milioni 12.57 kwa mwaka
4 Zlatan Ibrahimovic (PSG) Pauni Milioni 12.16 kwa mwaka
5 Radamel Falcao (Monaco) Pauni Milioni 11.74 kwa mwaka
6 Wayne Rooney (Man Utd) Pauni Milioni 11.57 kwa mwaka
7 Sergio Aguero (Man City) Pauni Milioni 11.31 kwa mwaka
8 Yaya Toure (Man City) Pauni Milioni 10.90 kwa mwaka


Pauni Mil 76 zafuta ndoto za Ronaldo kurejea Man Utd



Uchambuzi: BinZubeiry

Post a Comment