MICHEZO | MATOKEO YA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA "Christiano Ronaldo akifunga Hat trick)

Katika League ya Mabingwa hapo jana, jumla ya Mechi nane zilichezwa katika, Hatua ya Makundi, huku team zikija na nguvu mpya katika kuhakikisha kila mmoja anawania kulitwaa tena Kombe hilo. Bingwa Mtetezi Bayern Munich alitoka kifua mbele kwa Goli 3 mbele ya CSKA Moscow.

Huku Mchezaji Christiano Ronaldo akihakikishia team ya Real Madrid ubora wake katika soka kwa kufunga Jumla ya Mabao 3 (Hat trick), Real Madrid ilishinda kwa bao 6 kwa 1 dhidi ya Galatasaray, Matokeo mengine ni kama yanavyoonekana hapo juu.

Post a Comment